Kwani Mbowe ni baba au mama yako umng'ang'anie? Watu wanaacha dini za wazazi wao sembuse chama? Ukweli Mbowe kama mwenyekiti amejitoa kwa muda wake, jasho, damu na hata rasilimali zake. Lakini hiyo haimpi uhalali wa kumiliki chama kuwa chake. Kwa kuinvest kwake ni ngumu sana kuja kuachia...
Andiko refu lakini la kipumbavu kuliko yote hapa JF kwa mwaka huu 2024. Ni upumbavu wa hali ya juu kuamini kuwa chadema yote mwenye akili ya kuwa mwenyekiti ni Dj. Yeriko nimekudharau sana hata propaganda huzijui
Wewe masikini mpaka akili, Kama wewe hauna hela sio kila mtu ni masikini, sio bure umerogwa, tafuta hela mtoto wa kiume utaolewa. Kwa akili yako ndogo ya SAUT unadhani Lisu bank atakosa chini ya 3B? jinga wewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.