Hakuna jambo baya kama kutolijua jambo na kukomaa kama unalijua huku ukitumia kutokujua kwako kuwapoteza ama kuwachanganya wengine, ukiuliza utapungukiwa nini kwanini uje kama unajua wakati hujui..
Yanga wanakikosi kizuri sana kwa sasa lakini kuna jambo ambalo linaweza kuwapata likaacha watu wengi midomo wazi. Mimi binafsi naoma Yanga wakipoteza kwa Simba goli 3 kwa 0 na wanaweza kufungwa goli nyingi zaidi. Na ikitokea wakafunga goli basi ni dakika za majeruhi na kwa tabu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.