bora kawa wazi kuhusu suspects, maana hata kabla tukio halijatokea magu aliwahi kuonyesha chuki za waziwazi kwa kusema, eti ukiwa jeshin na ukaona mwenzako kakusaliti lisasi inamhusu, ni baada ya siku kazaa inatokea kweli. Nyie furahieni kuumizwa kwa lissu lakini kumbukeni, " mcheka kovu ni...