Lakini once akikomaa postgraduate akapata g.p.a atleast nzuri! si anauwezo WA kuchomoka kuitwa hata kwenye interview ukichanganya na skills ambazo anazo?
Habarini wadau!!
Ni hivi nna jamaa yangu tumemaliza nae BA in business administration Ana g.p.a ya 2.6!! so vipi Ana uwezo kweli WA kupata kazi...maana anawaza kurudi kusoma undergraduate upya au akomae Tu apige postgraduate coz roho inamuuma kwa kupata pass AFu akiniangalia mwenzie nimeunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.