Hii nchi inashda sana kiukwel nmekaa nmewaza nmetafakari kwann vijana atutumii mda wetu vzuri kujifunza kuptia forums tunatumia mda kufuatilia ujinga wa mawazo ya mtu mmoja anaepingana na elimu iliyomfanya awe yeye, kiufup ni vzuri kupost ktu unachoona kitakua kina manufaa kwa msomaji cyo...
Ingekua vyema sana kama serikali ingetumia njia ya ajira ziwe znatolewa wilayan na cyo kwenye wizara ya mtu anatuma maombi katika wilaya anayoitaji kuajiriwa ingepunguza hizi pupa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.