Ndio mnadanganyana mkiwa chuo mkiingia mtaani mnakuta Mambo yako tofauti Sasa ivi elimu inatusaidia kusoma na kuandika na kutoa ujinga lakini elimu sio ufunguo wa maisha na hakuna mwalimu anafundisha maisha ni wewe mwenyewe umtangulize mungu na kufanya kazi kwa bidii
Huo ndio ukweli mkuu robot limemezeshwa kila kitu linaweza likafanya kazi ya watu kumi kwa Mara moja na athari kubwa zimeshaanza huko ulaya kama Google idadi ya watu wamepunguzwa tusidanganuane Cha muhimu huyu Elon musk apunguzwe sped Hali itaendelea kuwa mbaya huko mbele hata huku Africa...
Hamna kitu Kama hicho roboti la Elon musk limetengenezwa kwa tekilogia kubwa Sana linamezeshwa na linafanya kila kitu mkuu acha kuwafariji vijana na tayari azari tumeshaziona huko ulaya kwa nzia Google idadi kuwa ya wafanyakazi wamepunguzwa ukweli ndio huo mkuu na unauma
Mkuu ukweli ndio huo kuna clip niliiona huko ulaya kwa Sasa asilimia kubwa maroboti yanafanya kazi na idadi kubwa ya watu wanapunguzwa Kama roboti moja linafanya kazi ya watu kumi tutegemee Nini mkuu? Hali inatisha mkuu na Elon musk tajiri wa dunia anazidi kuyatengeneza na kila sekta yatakuw...
Haina tija ndio maana wazungu wanaangalia mtoto ana talent gani anayo na anamkazania hio na mwisho wa siku mtoto anaenda vizur na maisha yake na kwa Sasa tekilogia zimekuwa Pana Sana huko ulaya marobo yameanza kufanya kazi maofisini na sehemu nyeti idadi kubwa ya watu wanakuwa hawana kazi mkuu
Zinapata changamoto lakini tayari huyu wa darasa la Saba unakuta ana uzoefu mkubwa Sana na ameshakutana na changamoto nyingi Sasa huyu wa degree kwanza hajui lolote zaidi ya gpa ya kwanza
Ngumu kumeza lakini huo ndio ukweli elimu ya Sasa Haina tija mzazi unatumia garama kubwa kumsomesha mtoto mwisho wa siku mtoto anamaliza anarudi mtaani na wale waliosomeshwa English medium asilimia kubwa ushoga ndio anaanzia mtoto huko wengine tunawaona mtaani wanakula ngada na wengine wanauza...
Sasa aache aendelee kugombania Mandazi asubui na wadogo zake Sasa na huko tunakokwenda ellon musk analeta maroboti ya kufanya kazi kwa nzia maofisini na kila sekta Sasa ndugu zangu graduate elimu ilikuwa zamani ukisoma uhakika wa ajira upo Sasa msikilizeni huu upuuzi mtakuja kujuta umri unaenda...
Sawa mkuu ni matumizi yake aliochagua kwenye maisha yake lakini wazungu wanasema time will tell Sasa wewe mwache fainali ni uzeeni au mwisho wa ajira no shamba
Kwa maisha ya Sasa kumpeleka mtoto English medium kuna changamoto Sana kuna watoto wanaanzia ushoga huko na mifano tunaiona mitaani Cha pili unapoteza pesa nyingi mwisho wa siku mtoto anamaliza hamna ajira Cha tatu maisha hayana mwalimu juhudi zako ndio zitakuwa muamuzi wa maisha yako Cha nne...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.