Recent content by Empress_sheila

  1. Empress_sheila

    JamiiForums Tanzania Kwanini Balozi Mulamula alikuwa anaonekana smart sana na kuheshimika huko Ugenini?

    Uwii kumbe? Nilikua sijamuelewa
  2. Empress_sheila

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya siku hizi yanafananaje?

    Donti tiray ati homu blaza
  3. Empress_sheila

    JamiiForums Tanzania Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

    Khaa kwamba we mtabiri? Ushindwe
  4. Empress_sheila

    JamiiForums Tanzania Ruto anaonyesha kila dalili za kuja kuwa Kama Magufuli

    Na wasiwasi ndiye anayezuia bomba la mafuta
  5. Empress_sheila

    JamiiForums Tanzania Usiogope unaweza kujenga na kumiliki kituo cha kujaza mafuta ya vyombo vya moto vijijini cha gharama nafuu

    Nilikua na hizi ndoto sasa bas! Acha nitafute mtaji wa kiwanda cha mafuta
  6. Empress_sheila

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia wazidi kushamiri nchini. Padri atuhumiwa

    Tatizo chaguo la padre ni watoto kondoo wakubwa washatumika hatak
  7. Empress_sheila

    JamiiForums Tanzania Msajili abariki Mbatia na Wenzake kusimamishwa NCCR Mageuzi

    Mbatia kama zito tu ndumilakuwili sana chadema wasirogwe wakampokea! Mbowe atatoka madarakan
  8. Empress_sheila

    JamiiForums Tanzania Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

    Bado hujajua kitu! Jifunze kwanza
  9. Empress_sheila

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia wazidi kushamiri nchini. Padri atuhumiwa

    Asee marafiki zangu wengi mapadri unachosema ni kweli tukiwa nao huwa wanajisahau kabisa kama wao ni watumish wa mungu wanajiachia wanatongoza wanatukana wanalewa sema nawasifu ibada hawaachi, Kama mtu anatakiwa ibada ya sa12 hata alale saa tisa asubuhi kama kawa kwenye misa anachangamka vizuri
  10. Empress_sheila

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa jeshi la polisi, mafanikio ya operation PANYA ROAD mitaani tunayaona

    Wanaoua siyo polis ni vyombo vingine vya usalama hao polis wanasingiziwa tu, anaoua kwa asilimia 99 hawakosei maana wanaiju kazi yao upelelezi wa maana ushafanyika na wanawajua panyaroad vizuri, naamini panyaroad wataisha kama walivyoisha magaid kule kibit. Kama watarudia tena panyaroad kurudi...
  11. Empress_sheila

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Asee!! Asante sana
  12. Empress_sheila

    JamiiForums Tanzania Hatimaye baada ya miezi 8 nimepokea Tsh 46000 kutoka Sagapoll

    Jaman hakuna online app nyingine inayolipa? Nicheze tena maana hii miez nane si mchezo
  13. Empress_sheila

    JamiiForums Tanzania Hatimaye baada ya miezi 8 nimepokea Tsh 46000 kutoka Sagapoll

    Asante nimeenda na nimejibu maswali vizuri tu! Sema dah inapoteza muda!
Back
Top Bottom