Recent content by empress

  1. empress

    Car4Sale Toyota RAV 4 number D

    Inauzwa Haina shida yeyote Milioni 16.5 Serious buyers PM
  2. empress

    Car4Sale Ninauza gari Toyota Porte Namba D milioni 6.5

    Mwisho ni 6M...yaan haishuki zaidi ya hapo
  3. empress

    Car4Sale Ninauza gari Toyota Porte Namba D milioni 6.5

    Yaani hiyo ni hela nzuri tu, ila ungesogea sogea kidogo. Hii gari haina tatizo lolote ninaiuza tu mambo yamenikaba.
  4. empress

    Car4Sale Ninauza gari Toyota Porte Namba D milioni 6.5

    Gari haina shida yoyote no. D Engine safi, gearbox safi Full A/C Serious inquiries, karibu PM
  5. empress

    Wasafi sound system iliwaangusha usiku wa mahaba ndi ndi ndi

    wapo ila wamejikita kwenye gospel...nenda events za LIVE za gospel ndiyo utaelewa wapo Sent from my SM-C5000 using JamiiForums mobile app
  6. empress

    Wapi wanaponunua makochi ya zamani?

    Wapendwa naomba kuuliza jambo... mzazi wangu amepewa zawadi ya seti mpya ya masofa na fenicha nyingine kama zawadi ya kustaafu...hana pa kuiweka seti ya zamani....kuna mtu humu anaweza fahamu mahali wanaponunua makochi ya zamani..maana mbao zake ni nzima na imara ila kitambaa kimechakaa kiasi...
  7. empress

    Njia rahisi za kuuza nyumba

    Nina milioni 4 mkuu tufanye biashara Sent from my SM-C5000 using JamiiForums mobile app
  8. empress

    Je, na umekuwa ukiipuzia taa ya tahadhali kwenye gari yako?

    huyu mimi alishindwa kutengeneza AC ya Vitz old model na watu walimsifia saana na kunihakikishia hashindwi ila alichemka Sent from my SM-C5000 using JamiiForums mobile app
  9. empress

    Magari ya Nissan

    hahahaha unajua shida ni hii hii ambayo nimeiulizia hapa,watu hawawezi kununua Nissan sababu tumeaminishwa vitu negative kiasi kwamba hata utakapoinunua,kuiuza ni kipengele hainunuliki kiurahisi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]naweza nikakuuliza kama umewahi kumiliki na kujaribu kuiuza,jibu...
  10. empress

    Magari ya Nissan

    sawa kiongozi,asante kwa angalizo Sent from my SM-C5000 using JamiiForums mobile app
  11. empress

    Magari ya Nissan

    asante sana mkuu kwakweli mpaka hapa nimepata uhakika wa nini cha kufanya...comments zenu zimenisaidia na kunifungua ufahamu sana...maana nimeaminishwa hivyo for years na mimi ningeaminisha hata wengime,kumbe viti si vya kweli Sent from my SM-C5000 using JamiiForums mobile app
  12. empress

    Magari ya Nissan

    asante sana mkuu...hili nalo neno..nimesikia spea ziko juu kiaina lakini siyo kiviiile...siyo kwamba eti zomepishana saaana na za toyota... Sent from my SM-C5000 using JamiiForums mobile app
  13. empress

    Magari ya Nissan

    na mimi nimekumbuka mzee wangu aliwahi kuwa na Nissan Sunny hata yeye kaniambia hakuona shida yoyote ambayo hajaiona kwenye toyota,ni kufanya service kwa wakati na matunzo mengine....shukrani sana mkuu Sent from my SM-C5000 using JamiiForums mobile app
  14. empress

    Magari ya Nissan

    asante sanaa mkuu...mnanisaidia mno kufanya maamuzi based on experience na ukwelu na siyo tu myth na uzushi Sent from my SM-C5000 using JamiiForums mobile app
  15. empress

    Magari ya Nissan

    asante sana...comment yako very helpful..a lot of misinformation...yaan mtu kakariri tu na anaaminisha wengine Sent from my SM-C5000 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom