Recent content by emmylozy

  1. emmylozy

    JamiiForums Tanzania Engine oil gani ni nzuri kwa Gari aina ya IST?

    Hukupaswa kutumia 20w 50 kwa gari ndogo ka iyo ..hizi oil ni kwa heavy duty or load cars au yale ya diesel
  2. emmylozy

    JamiiForums Tanzania Engine oil gani ni nzuri kwa Gari aina ya IST?

    Kama engine bado ina hali nzuri <18,000km Tumia mult grade full synthetic 5w-30 ukiikosa chukua 10w-30 achana na SAE 40 hizo ni monograde zina himili joto kali tu, alafu ni nzito hivyo usambaaji wake sio nzuri kwenye ingini hasa pale unapowasha gari hivyo ingine kuwa nzito na kusagika kwa vyuma...
  3. emmylozy

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Uvuvi Tanzania faida na hasara na ugumu wake

    Nahisi Changamoto ya hii biashara kwa maeneo kama ya ziwa Victoria hapa mwanza kwa sasa ni upatikanaji wa samaki wenyewe. Yani samaki wana bei juu sana samaki mdogo tu 5,000 hivyo kupelekea watu wengi kuachana na mboga hii ya samaki na ukilinganisha pia hali ya ugumu wa maisha mtaani kwa sasa...
Back
Top Bottom