Recent content by Emmy de Kap'son

  1. E

    Mwalimu wa kwanza kuwa na ‘Daraja A’ Tanzania afariki dunia

    Kazi ya Mungu haina makosa. Ametangulia mbele za haki.
  2. E

    Tukio la ajabu lafanywa na police wa barabarani hapa Lushoto leo asubuhi, wakamata Taxi zote!

    Ama kweli! ukishangaa ya Musa, utayaona ya Filaun! Hata kwetu wapo.Kazi yao kukusanya mshiko kila sikukuu ikikaribia.
  3. E

    Jamaa -'KALIWA NA FISI MDOMO ,PUA NA MASIKIO' Kisa : Pombe!!!

    Ama kweli! Cha mlevi kuliwa na mgema kumbe haitoshi! Pengine hili ndo fundisho tosha kwa walevi.AKILEWA TENA MH!
  4. E

    Raila au Uhuru Ikulu Leo ?

    Wananchi wa Kenya ndo waamuzi! Wanasiasa mkubaliane na matokeo yatakavyokuwa. Mkumbuke kuwa mliomba KURA na siyo KULA!
  5. E

    March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    Hello! Mi mgeni katika JF. Nimependa mawazo yenu wanajamii. Tushirikiane!
Back
Top Bottom