Recent content by emmanueljohnson76

  1. E

    JamiiForums Tanzania DED Magu angalia sana Idara ya Elimu Msingi

    Hagwila, Yaani hapa hata kama ni mtoto mdogo unaelewa tu kuwa huyo afisa anayesifiwa lazima yuko nyuma ya pazia katika kuandika habari hii. Yaani wewe mmoja tu uwe msafi kuliko wote hao umekuwa Mungu? Acheni kuchafua wenzenu kwenye mitandao ya kijamii. Taratibu za kiutumishi ziko wazi.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa adaiwa kuifadhili ACT-Tanzania; yeye, ACT wakanusha

    Chadema kimebaki kutapatapa na majina ya watu. Mara Zitto, mara Lowasa, Mara msajili, mara JK. Huo ndio ukomo wa fikra za Slaa na Mbowe. Changes need to be made from within. Remember, a candle can not light others if it does not burn itself.
Back
Top Bottom