Nshakusoma, nakushauri we nyani ambae still hauoni wekundu wa k*ndu lako kua jina la chuo lisiifanye akili yako ipate negatv influence. Lile ni jna la kawaida tu kama llvo jna la na demu wako na lako Au jna langu na la dada ako.
USIIFANYE AKIL YAKO KUA TASA, USIOGOPE WALA KUDHARAU JNA. nyambafu.
Mi tayar nishafka chuoni. Wanasema kwa first year inatakiwa uripoti chuoni na 650000 bila kujal umepata mkopo kias gan. But mambo mengne wataya maliza baada ya kuingia 2nd year either kurudshiwa kias flan au utaongeza kulingana na mkopo wako. Ahsanten sana.
Usihofu kaka tutazoea tu. Mbona wazungu wanaonamambo ya kawaida tu kila mtu na tym zake. Ndo maana wabongo mnakufa na ngoma sana usione paja tu tayari ushaanza na kumvua nguo akilini mwako. Bado tumeshapata harufu ya utandawaz but cku utandawaz ume2tembele itakua poa.
Usiseme SIKU YA MWISHO, kwani unapozungumzia siku ya mwisho unazungumzia siku ya UNYAKUO na sio MAAFA. Mbali na hapo Mungu hua harudii mapigo, mfano Maji au mafuriko alitumia kpndi cha nuhu. pia moto aliutumia kpnd cha sodoma na gomola. So jpange kama unatetea hoja ksayansi ama kiiman but uc2mie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.