Recent content by Emmanuel Njile

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa gari hapa Nzega na polisi kudanganya kuwa hawana mafuta kumbe wako mgodini

    Hatufurahishwi na kuchafua jina la nchi yetu Tanzania bado tunahitaji haki kwa wote na Amani Tafazari mawaziri wetu.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa gari hapa Nzega na polisi kudanganya kuwa hawana mafuta kumbe wako mgodini

    Maake watu wote kutoka mikowani kuja hapa mwanshina kusubiri mgodi naomba ULITATUE WAZIRI MAMBO YA NDANI WA MADINI
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa gari hapa Nzega na polisi kudanganya kuwa hawana mafuta kumbe wako mgodini

    Kama sio basi sikia kirio cha watu hawa maake hata kutekwa kwa magari maeneo haya niukosefu wa hera ktk maeneo haya
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa gari hapa Nzega na polisi kudanganya kuwa hawana mafuta kumbe wako mgodini

    Waziri wa madini hebu tuma takukuru waje wajionee maajabu sisi wananchi tumeanza kuona nawewe kunachako pale mwanshina
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa gari hapa Nzega na polisi kudanganya kuwa hawana mafuta kumbe wako mgodini

    Wanauza shift kwa milion moja kwa saa huku wananchi wakiwaambia mgodi umufungwa waziri wamambo ya ndani nanyi PCCB
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa gari hapa Nzega na polisi kudanganya kuwa hawana mafuta kumbe wako mgodini

    Gari lililotekwa jana Nzega na maaskari wakitoa maneno eti hawana mafuta ktk Gari lao kumbe wako mgodi wa mwanshina
  7. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa anawependa watanzania; Je, watanzania wana mapenzi naye?

    Luwasa si niyule mwizi mkubwa na fisadi au kaja luwasa mwingine
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kilio chetu kwa OCD wa NZEGA serikali itusaidie tumevumilia vya kutosha na PCCB okoen

    Takilibani miezi mitatu wachimbaji wa mwashina Nzega kufungiwa machimbo hayo wamejikuta OCD na masikari wakiuza mashimo
  9. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yaanza Operesheni PAMOJA DAIMA: Helkopta tatu Kutumika!

    Chadema mwendo mudundo kifichua mafisadi..
  10. E

    JamiiForums Tanzania Lema amuokoa Dc Arusha

    Msalani na lizibon kama kwamba vichwa vyao vina ubongo wa maziwa mgando anaambiwa bada2 walikua asila Lema ndo kawasihi
  11. E

    JamiiForums Tanzania Ujangili wa madini wilaya ya nzega kijiji cha mwanshina wazidi kushamilii

    Naishauri serikali iliangalie kwa makini kwani mkuu wa wilaya anashea na mkuu wa polis wilaya hii ndio tanzania yetu?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ujangili wa madini wilaya ya nzega kijiji cha mwanshina wazidi kushamilii

    kwa marajiri na kuchimba madini usiku kwa mil3-5 kwa masaa matano na laki 3kwa lisaa 1 watu masikini kama wakikatazwa
  13. E

    JamiiForums Tanzania Ujangili wa madini wilaya ya nzega kijiji cha mwanshina wazidi kushamilii

    Hali inazidi kuendelea kuharibika kati ya matajiri na wachimbaji wadogo kijiji cha mwanshina maaskari wanapokea rushwa
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kilio cha watu wa mwanshina machimboni nzega

  15. E

    JamiiForums Tanzania Kilio cha watu wa mwanshina machimboni nzega

    Kila ukicha mchimbo ya mwanshina wanafaidika maasikari kuuza shifti Usiku wa chimbe matajiri wanauli serikali yao haijar
Back
Top Bottom