Inaitwa subaru impreza, gari imeinuka vizuri, muundoa mzuri, engine cc ndogo kukuwezesha kwenda umbali mrefu kwa mafuta machache, zipo zenye cc 1490-1500, ambazo ni sawa na engfine za toyota ist.
Kwa gharama ya kuanzia milioni 12 unapata kwa kuagiza kutoka japani apa kimomwe motors magomeni...