Naitwa Emmanuel Mashack, ni kijana mjasiriamali niliyejikita kwenye biashara ya samaki kupitia mtandao, ninaendesha huduma ya Mwanza Samaki Fresh.
Tunasambaza samaki aina ya Sato na Sangala kwa ubora wa hali ya juu moja kwa moja kutoka Ziwa Victoria.
👉Lengo langu:
Kupanua wigo wa usambazaji kwa...
Asante, kwa ushauri ndg. Ila nadhani tungeandika kila kitu,, maelezo yangekua merefu sana, na pengine ingetia uvivu kusoma, ndo maana kuna namba hapa 0719941250, unaweza kutuuliza chochote kwa mawasiliano hayo.
Asante.. bei tunaweza kuongea vizuri wakati utakopo kuwa tayari,kwasababu mala nyingine huwa zinabadilika kulingana na upatikanaji wake.. tuwasiliane tu kwamba hii..0719941250,
Ni kweli wakufungwa wapo wengi ila unaweza kusema unahitaji wa aina gani na utapata kukingana pendekezo lako. Hawa kwenye picha hapa chini ni sato wa asili pia wapo weng sana.
MWANZA SAMAKI FRESH: Tunatafuta Ushirikiano wa Kibiashara
Habari ndugu wanajamii JF:
Mimi ni Emmanuel Mashack, mwanzilishi wa biashara ya Mwanza Samaki Fresh, tunajishughulisha na uuzaji na usambazaji wa samaki fresh aina ya Sato na Sangara kutoka Mwanza kwenda mikoa mbalimbali Tanzania.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.