Da!! Ugali wa moto na mbono huo hauna uyengu "uyengu kwa wale wanaharakati wa marangu sec 1992 kwa mzee kalikali ,mzee simba , babu doo!! rupepo mzee mashinaa na mwanamao watakueleza" Chunga ze deal uko mangi segadansa pafupi ukileta tofauti jombaaa
Hakuna mwenye kutaka kuchangia mawazo ya busara kila mtu anataka kuonekana ni zaidi ya mwingine wakati wanatafuna mpunga wa kodi za walala hoi pasipo wananchi kutamua ni nguvu ya mvuja jasho mangi, hebu tujiulize ni vijiji vingapi havina umeme ,maji, zahanati, shule za hawali!!!? Hata wanafunzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.