Habarini wana Jamii Forum ni matumaini yangu yote ni wazima.
Andiko langu linahusu jinsi TEHAMA inavyoweza kusaidia vijana katika kupanua uwelewa wao na kuweza kutumia ili wajipatie kipato.
Utangulizi:
Idara ya Teknolojgia na Mawasiliano imekuwa sehemu muhimu sana katika karne hii ya kisasa...
Kulala chumba kimoja na mtoto muda mwngin ni kipato cha wazazi, siyo kila mtu anauwezo wa kuaffrd kupanga nyumba kubwa... kuhusu kutazam muv na watoto hilo linachngia lakini kumbuka kuwa sikuhiz maendleo ya Technlg yamkuwa makubwa sana, video mbaya zinapatikan mpaka kwnye simu, kuna vipanda vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.