nguruwe kukua ndani ya miezi mitatu na kuuza inachangiwa na chakula, si pumba na pig mix kama watu walivyokariri, kuna mashudu na makapi ya breweries, huwafanya wakue haraka sana na kua na uzito wa 30-40kg ndani ya miezi mitatu tangu kuzaliwa. kwa ziada tafuta ushauri wa wataalamu wa mifugo.
wakuu najua mada ni vitunguu, ila nahitaji msaada kuhusu kilimo cha matango, mwenye experience ama ushauri naomba tuongee nambari 0717584992, nataka kulima Mlandizi, Pwani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.