Dah pole sana mama kama hukuweza kukata kiu ndo hukati kiu tena kwani umesikia Wapi au ukaona Wapi magufuli ametoa njia ya jinsi ya kutatua kero za wananchi? Kila siku analalamikia mafisadi wakati hao mafisadi wote wanagombea ubunge kupitia chama chake Leo unataka ukatwe kiu msubiri mama...
Hapa ndo tunapoirudisha nyuma nchi yetu kimaendeleo hawa watu hawakutakiwa kupelekwa gerezani maana wafungwa ni mzigo kwa nchi yetu hawa wapewe maeneo ya kufanya kaz ngumu kwa miezi yote mpaka hapo kifungo chao kitakapoisha watakaoenda kinyume ndo wafungwe hata accommodation ya hawa wafungwa...
mbona mlikuwa mnashangaa chopa zimetoka wapi ruzuku hizo zingekuwa zinaliwa wangeweza kutumia chopa hata moja??? usijitoe akili kwa mahaba yako na CCM Mbowe kukaa kimya sio mjinga anawajibu kwa vitendo endeleeni kumfatilia ye anawapiga bao.
"ukitaka kumuomba baba pesa msubiri akiwa na furaha" hii ndo janja ya wasanii hawa wasanii wanalalamika kila siku wamesahalika hawana haki zao bwana mkuu aliwaahidi mengi hewa leo eti wanaenda kumlaki au ule usemi nloanza nao ndo unatimia wamesubiri siku ya birthday ndio wamkumbushie duh akili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.