Ni rahisi sana kuona kibanzi kilichopo kwenye jicho la mwenzako lingali la kwako lina boriti.
Balozi hebu litetee Taifa lako la Marekani huko kusikoeleweka. Hapa Tanzania tuna amani, tunafanya kazi zetu na maisha yanaenda vizuri tu
Hatuwezi kuunga mkono watu wenye maslahi binafsi, wachonganishi na wenye kutafuta mbinu mbalimbali za kutuvuruga Watanzania.
TAREHE 28 OKTOBA tujitokeze kupiga kura
Na V. M
[emoji736]Hakika nimejionea Mwaka 2020- Kumeendelea kuwa na Ushiriki mzuri wa Wanawake katika mchakato Mzima wa Uchaguzi; [emoji994]
Nchini Tanzania kumekuwa na hamasa na muamko mkubwa mno wa Ushiriki kwa wanawake-
Kama Taifa tunajivunia kuwa na Makamu wa Rais Mwanamke (anayetetea...
Ni ukweli usiopingika na ulio wazi kuwa, Tanzania upinzani bado sanaaaaaa na itoshe tu kusema kuwa CCM ni chama imara na kitaendelea kuwa imara. Dk Magufuli anastahili kura za kishindo kwa maendeleo ya Taifa letu
"Tulitamani kuwa na Kiongozi kama Dr.Magufuli,Tumempata, tunaendelea nae.
KURA YANGU KWA MAGUFULI "
#TulipotokaTunapokwenda
#MagufuliNiMafanikio
#Magufuli5Tena
#ChaguaMagufuli #ChaguaMagufuli #ChaguaMagufuli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.