Recent content by emboaba

  1. emboaba

    JamiiForums Tanzania Ni vitu gani muhimu vinatakiwa kwenye cover letter?

    covering letter unamwandkia nan(i mean unaituma kwa nan au ofisi gan)
  2. emboaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafikiria kuachana na mke wangu

    kaka hakuna ktu knauma kama kuumizwa kihisia,unajtoa kwa ajil yake lkn bado haon juhud zako..achana nae tafuta peace of mind na mikakat ya kulea watoto fully stop..yasije yakatokea kama yale ya kung'oana meno.. #usingle raha japo inatake muda kuzoea
  3. emboaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

    😥
  4. emboaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

    inshort tabia ake iko iv..hata iweje haez kubadlka huyu ndo mana nmeomba mbinu za kuachana nae bila kumuathir mtoto
  5. emboaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

    cha ajbu kagombana karbia na majran ote
  6. emboaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

    daah..npe mbinu sio ushaur mzee wangu
  7. emboaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

    nlmwitia wamama wawil waongee nae akadai atabadlka tumekaa wik mbil tu kaanza tena yale yale
  8. emboaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

    nshaongea nae akakubal condition zote issue akampgia mama ake..mama ake akamwambia avumilue ndoa inahtaj uvumilivu
  9. emboaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

    akinogewa je
  10. emboaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

    Ndio maana nmeomba mbinu..matukio yep kulala nje mfululizo au
  11. emboaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

    😅..
  12. emboaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

    kwn wana alama hawa..!?
  13. emboaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

    sorry..nmeona mawazo ya kiume!asante dada
  14. emboaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

    salute mwamba
  15. emboaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

    kwel asee asa huyu mtoto itakuaje
Back
Top Bottom