Recent content by embechanga

  1. E

    JamiiForums Tanzania Inahitaji kuwa mjinga na kichaa kilichokubuhu kuendelea kuamini eti CCM italeta maendeleo!

    Umeacha kuheshimiwa siyo? Siku hizi unajilpokea tu kama mtoto wa ccm, baba angu kaingiaje hapo? Staki nikukosee heshima jidu la mabambasi:
  2. E

    JamiiForums Tanzania Inahitaji kuwa mjinga na kichaa kilichokubuhu kuendelea kuamini eti CCM italeta maendeleo!

    Uzee kazi nyingine! Ushazeeka mkuu, ndo basi tena!
  3. E

    JamiiForums Tanzania Inahitaji kuwa mjinga na kichaa kilichokubuhu kuendelea kuamini eti CCM italeta maendeleo!

    Anamaana kuwa, Rais anatoa hongo ili asighasiwe na wapinzani, anaona bora waende nje awe huru? Hii si ndo tunasema ccm hafikilii tena mstakabali wa nchi na wananchi?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Inahitaji kuwa mjinga na kichaa kilichokubuhu kuendelea kuamini eti CCM italeta maendeleo!

    Miaka zaidi ya sitini, nchi bado hata haieleweki ni lini itaondokana na uchumi tegemezi licha ya kuwa na kila kitu. Kitabu cha mwanzo kwa wasomaji wa Biblia, nyoka alitambulika kama nyoka tuu, lakini kitabu cha ufunuo, nyoka anatambulika kama JOKA kwa sababu moja tu, nyoka, hakushughurikiwa...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ni mfu, ajabu nderemo zake zina ujazo kuzidi walio hai. Kwanini?

    Kushinda Arabuni huko? China je? Russia vipi
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ni mfu, ajabu nderemo zake zina ujazo kuzidi walio hai. Kwanini?

    Unachuki za kijinga sana we Dada
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ni mfu, ajabu nderemo zake zina ujazo kuzidi walio hai. Kwanini?

    Wewe umekuwa mzungu lini? Bongo bhana!!
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ni mfu, ajabu nderemo zake zina ujazo kuzidi walio hai. Kwanini?

    Tanzania kukubali iwe yenye maendeleo, ni kumkubali JPM, kumkataa JPM ni kukataa maendeleo daima
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa Tulishawakataa wote walokataliwa na Hayati Magufuli

    Utalinganisha na wanaume wa Dar wakata mauno.?
Back
Top Bottom