Recent content by emasingija

  1. E

    Kuku wangu wameshuka utagaji sijajua shida ni nini msaada kwa anaejua sababu

    Habarini ndugu wafugaji na wakulima, Nina kuku wa mayai ambao wana mda wa miezi mitatu toka wameanza kutaga mwanzo walikuwa wanaenda vizuri kila wiki utagaji ulikuwa unapanda nilifikia tray 6 kwa siku lakini mpaka leo nakusanya tray 4 shida yawezakuwa nini ndugu. Msaada changamoto...
  2. E

    Ugonjwa wa Kichaa cha Mbwa: Fahamu Chanjo, Dalili na namna ya kudhibiti

    Kwema wana jamvi, mi natafuta mbwa German sherpherd niko mwanza mwenye nao tuwasiliane kwa 0715927151
  3. E

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Wafugaji wenzangu mi natafuta jogoo aina ya kuchi +jike mwenye ufahamu wanapopatikana naomba msaada.
  4. E

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Baada ya kuwanyang'anya vifaranga had majike ni wiki 2 au 3 tu wanaanza kutaga tena
Back
Top Bottom