Recent content by Emanuelkonki

  1. E

    JamiiForums Tanzania Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

    *UKWELI KUHUSU SAFU YA UONGOZI UDOM NA DHANA YA UDINI* Chuo Kikuu cha Dodoma kimekuwa na idadi ndogo sana ya wafanyakazi waislamu ukilinganisha na wakristo. Lakini Pia Chuo hicho kimekuwa hakiishi kuomba vibali vya ajira utumishi kwaajili ya kujaza uhaba wa nafasi mbalimbali za wanafanyakazi...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    *KADHIA MSIKITI UDOM YATUA IKULU* Mheshimiwa Raisi John Magufuli amesema anatambua katika maeneo ya Vyuo Vikuu panastahili kujengwa Msikiti na Kanisa ili kusaidia kuwajenga kiimani wanafunzi wanaosoma katika vyuo hivyo. Kauli hiyo imekata mzizi wa fitna ulioibua sintofahamu hivi karibuni Chuo...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    *KADHIA NZIMA YA UDOM NA HAMISHA HAMISHA YA WAISLAMU KUMI NA MOJA (11)* Hivi karibuni ujenzi wa Msikiti Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ulisitishwa na kisha kuvunjwa ukuta eneo la Msikiti. Ubomoaji huo ulifanyika Januari 09, 2019, kisha ukafuatiwa na uhamisho wa watumishi 11, Januari 11, 2019...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Uhamisho UDOM 1.Dr.Mariam Khamisi -UDSM 2.Dr.Yusuph Kambuga -ADEM Bagamoyo 3.Dr.Masoud-DIT 4.Dr.Ibuni Kombo - 5.Khamisi Mkanachi-UDSM 6.Mohammed Mwandege -Arusha Atomic Energy 7.Omar Simba -Wizara ya Ardhi 8.Subira Issa Sawasawa -Wizara mambo ya ndani 9.Wema Mbegu -Wizara ya Ardhi 10.Aziz...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    MSIKITI WAVUNJWA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM), WAISLAM KUMI NA MOJA (11) WANATAALUMA NA WAENDESHAJI CHUO KIKUU CHA DODOMA WAHAMISHWA (Prof. Petter Msoffe) asimamia kikamilifu zoezi hilo Tumepokea kwa Masikitiko makubwa sana uhamisho wa watumishi waislamu Chuo Kikuu cha Dodoma uliofanyika ijumaa...
Back
Top Bottom