Recent content by Emanuel Mahenge

  1. E

    Yaliyojiri Nyamagana Mwanza: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Oktoba 12, 2015

    Kiroba, ni nini je sio pombe. acha uchepuzi wa maneno domo kaya wewe uliyefilisiwa fikra na ccm. Ni akili kubwa tu zitakazochagua UKAWA ila ninyi ambao bado mnafikiri Tanzania ya leo ni ile aliyoiacha Nyerere basi endeleeni kuwa mtambo wa pesa kunenepesha mafisadi.
  2. E

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Ukiwa hujui chochote kuhusu mtu, si vyema ukaanza kutapika ovyo bali utulie usikilize wanaojua. Hakuna dhambi isiyosameheka kwa Mungu, hivyo ujue hata Lowassa ikiwa alikosea kusema mambo ya bosi wake ni kwamba alitegemea kwamba boss atjirekebisha kwani ni vyema kuweka second chance kwa kila mtu...
  3. E

    Prof. Mwandosya amchana Mkapa

    Mkapa nilimuamini na kumheshimu kama Kiongozi bora kati ya wengi waliowahi kuwepo, lakini alichokifanya inanifanya nikubali kuwa UKAWA wapo sahihi kusema kwamba katika ccm hata angelishuka malika kutoka mbinguni baada ya muda angejikuta amekuwa SHETANI MKUBWA. haya yamedhihirika mapema...
  4. E

    Mwenyekiti CCM, umekifikisha chama mahali pabaya

    Ni ukweli usiofichika kwamba CCM ilijitahidi kufanya nchi yetu itambulike wakati wa mzee wetu Nyerere lakini, hapa tulipofika inaonekana wazi kuwa chama kimepoteza dira yake. Ni busara sana kwa waliokuwa viongozi wake kukubali ukweli uliopo sasa na kisha kutafuta suluhisho na ikibidi wawaache na...
Back
Top Bottom