Wewe mmarangu hicho kichwa hata kikipikwa kwa magadi hakitaiva. Unawadanganya walimu waendelee kuwa wajinga na wachovu kwa 7bu na wewe ni mwanachama wa chukua chako mapema. Kwanini ndani ya miaka hamsini ya uhuru wa hili taifa hawajaboresha hayo maslahi ya walimu waje waboreshe kipindi cha...
Fedha za walipa kodi wa Tanzania, wanazo jilimbikizia kwa manufaa yao na watoto wao, zielekezwe kwenye huduma za jamii. Hii itasaidia kuboresha maisha ya Mtanzania wa chini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.