Yani ni blue screens tu zimetawala.. Haters njooni basi tuwapumzikie wakati huu tukiwa tushafunga hesabu zetu. Tujibizane mpaka saa sita hivi tunaobeti tukalale alaf kesho tuamke tupige ela tena alfu usiku kama huu tuwapumzikie tena[emoji23][emoji23][emoji23] maana ndo maisha mliochagua...
Hahaha nilikua napitia huu uzi nimefika kwenye hii comment yako nahisi umeandika hii comment huku machozi yanakutoka[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] maana umejibu kinyonge kweli yani. Baada ya mtemi ONTARIO kutuma screen za blue na watu walivyodabo capital zao kwa siku moja.
Yani huna tena...
Yani mimi kinachonifurahisha ni kwamba hapa tulio serious na hii kitu tutazidi kupambana tuwa prove wrong hawa wachache wanaotaka kututoa kwenye reli..
Turn your haters into motivators!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mambo unachanganya mkuu.. Leo GBP haijashuka against USD hasa hicho kipindi cha mchana unachokisema GBP ndo ilikua inapanda thamani na USD ikawa weak.
Ni hivi mkuu naona katika kusoma kwako kuna mambo umeelewa kinyume, Huwa hatununui currency kama inashuka thamani na huwa hatuuzi currency...
Inategemea hamna muda maalum. Kuna mambo mbalimbali yanayosababisha currency fulani kupanda au kushuka kwa kipindi fulani Mfano; mambo ya economy policy, political news and crisis, natural disasters na mengne mengi sana..
Nakushauri endelea kusoma maswali yako mengi majibu yake yapo kwenye...
Safari imeiva sasa. Road trip, kama mtu alienda mpaka South Africa kufata knowledge zaidi ya mara moja sembuse mimi wa Tanzania humuhumu nishindwe kusafiri kuja Dar kweli. Ziwezi kufanya huu uzembe aisee. (talking to myself)
May be watatuambia tukikutana nao class..[emoji39] au nadhani hawakutaka wakija huku wahangaike inshu za usafiri au kununua magari mengne so wakaamua kuja na yakwao and also for the sake of adventure.
All in all we thank God wamefika salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Great news from cre.forex on IG.. Jamaa wamefika aisee hio road trip sio mchezo.
Nimekaa hapa nasubiri uzi mpya tu nikakate ticket yangu na mimi road trip ianze[emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kujitokeza mkuu ONTARIO hasa muda huu ambao tunakuhitaji kupita kiasi. I will be waiting saa tatu kwa update nyingine. Only that update naisubiri nipack mabegi yangu mimi niliye mkoani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.