Recent content by ema mponzi

  1. E

    Msaada wa kufika kanisa la mlima wa moto

    Habari wana jf msaada kwa wanaojua mahali lilipo kanisa la mlima wa moto lililopo chini ya mchungaji getruda rwakatare nasikia liko mikocheni B lakini sijawahi kufika msaada kwa anayejua
  2. E

    Msaada kwa hili..

    Kwa waliomba chuo cha ifm diploma au certificate kuna ambaye ameshapata joining instruction mana mimi nimeenda sana pale wananiambia bado na tayari kwenye account yangu walithibitisha nimechaguliwa msaada hapo mana wanasema week hii ni ya registration ila sielewi kabsaa jamani msada hapo kwa...
  3. E

    Ushauri wa bureee

    Kwa mnawapeleka watoto pre form one wanafundisha civics,chemistry,biology,physics,math,english nq geography wengine mpka history kweli mnawaaribu watoto na ndio mwanzo wa kufeli.... napita sehemu wanafundisha pre form one wanawakaririsha biology definition yenyewe kama risala kweli tena...
  4. E

    Msaada nacte

    Nasikia vyuo vya nacte kwa waliiomba diploma ya afya vinafunguliwa kuanzia tarehe 15 mwezi wa kumi sasa ndugu yangu mmoja kaomba diploma ya clinical medicine lakni mpka leo hajapata majibu msaada wana jf kama kuna aliyepata tayari matokeo tusaidiane link plz wana jamii forum
  5. E

    Msaada kwa wakiomaliza registration

    Naona baadhi ya vyuo wametoa taarifa ya kuanza registration msaada kwa waliomaliza registration plz
Back
Top Bottom