Recent content by Ema Jackson

  1. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?

    Haya ndo majibu nilikuwa nahitaji kuyapata, asante kwa ufafanuzi ulionyooka na sijui ulichelewa wapi kunijibu mpaka najibiwa ovyo ovyo tu na small minded kazi kukasilika tu hata kama uelewa ni mdogo juu ya jambo lilliloulizwa siku nyingine wale wanaojibu tu ili mradi ni jibu tujue kuwa 'if you...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?

    Asante kwa ufafanuzi mzuri, maana kuna watu humu hawajui hata kumjibu mtu nini kauliza wao nikuliza maswali na makasiliko yasiyo na tija kama mtu hajui atulie ili watu wanajua wenye ufahamu na kilichoulizwa wajibu. Asante
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?

    Usimjibu mjiga maana utakuwa mjinga wewe je mimi na wewe nani mjinga
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?

    Ngoja tusubili tuone naamini mda Unapaswa kuwa na uhakika ukiwa unajibu swali kusema ni sawa tu maana yake hauna uhakika na pia umejikita upande mmoja tu je vipi kuhusu MDAs nao ni halmashauri maana kuna LGAs na MDAs
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?

    Hilo halikuhusu jibu swali la msingi mbona swali kwa swali
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?

    Je kwa in-service anayetaka transfer kuwa chini ya MDAs kupitia ajira hizi unamshauri nini, maana mimi nimeulizwa ushauri kuhusu hili nikasema siijui vizuri MDAs na LGAs nikaishia kusema ingelikuwa wizara ya elimu wametangaza ningelimwambia aombe over Tamisemi lakini hii nimeshindwa kutoa...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?

    Nikajifunze wapi, wakati nimeuliza wewe kama unajua jibu swali acha uswahili
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?

    Tujibu maswali yaliyo ulizwa kujibu swali kwa swali kunaweza kusilete maana mleta maada kauliza tofauti ya Tamisemi au wizara ya elimu vs MDAs au LGAs afu naye anaulizwa swali hilo hilo
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?

    Ushauri mzuri lakini nahitaji kujua huyu mwajiri anakupeleka kuwa mwalimu wa level ipi na pia kuna watu ambao ni in-service chini ya Tamisemi lakini wanahitaji kuomba hizo kazi je maslahi yakoje huko Isije ikawa wanataka kwenda chini tu badala ya kwenda juu.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?

    1: wana JF naomba kuuliza kuhusu hizi ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani? Pia 2: je kuna faida yeyote kwa mwalimu aliye chini ya Tamisemi kuomba kuhamia MDAs na LGAs 3: nini tofauti ya kufanya kazi Tamisemi au...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Tueleweshane kuhusu uhamisho ESS

    Uangalie kama wamekutumia transfer permit letter maana hapo ni kama tayari usharuhusiwa na je status yako ishawahi kusoma utumishi or Tamisemi?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Tueleweshane kuhusu uhamisho ESS

    Asante kwa ushauri wako, "mental health"
  13. E

    JamiiForums Tanzania Tueleweshane kuhusu uhamisho ESS

    Naomba tujuzane kuhusu UHAMISHO status ina soma kama ambavyo mishale inavyoonyesha ni miezi saba sasa mwenye ufafanuzi juu ya hili. Vipi pia kuhusu wewe uliyeomba transfer status yako ikoje kwenye mfumo huu, au kama kuna mtu amefanikiwa kuhama kupitia mfumo atupe uzoefu kidogo juu ya status hizi.
Back
Top Bottom