Recent content by elvismjanja

  1. elvismjanja

    Wataalamu wa Blackberry

    Nimepata usaidizi kutokana na swali lako kaka, me pia nimepatwa na hiyo shida sikujua nifanyeje. Baada ya kugeuza hizo settings za TCP/IP.Sasa nahitaji kutafuta WI-FI niweke opera mini na whatsapp
  2. elvismjanja

    Samsung ace vs samsung pocket nani mkali?

    Galaxy ace ni njema kushinda galaxy pocket. Kwa camera yake ni mzuri zaidi kushinda pocket. Kama waweza pata Galaxy ace plus ndio mzuri zaidi maana ni updated version ya Galaxy ace.Memory na speed iko sawa kabisa
  3. elvismjanja

    Msaada wa computer yangu wadau..

    Fanya repair ya windows ukitumia CD ya windows 7. Kisha install latest anti-virus. Repair ukifanya sio lazima utoe windows yote.
Back
Top Bottom