Recent content by Elsie

  1. E

    Moshi ipo kama nilivyoiacha

    Nilivyomuelewa mtoa mada ni kuwa Moshi ilipaswa kuwa imepiga hatua kubwa zaidi kimaendeleo ya kiuchumi,maendeleo ya upatikanaji wa huduma bora zaidi za kijamii na maendeleo ya walio wengi na sio wachache. Maendeleo sio barabara na mazingira yaliyo kijani au magari,watu wetu wanafanya nini...
Back
Top Bottom