Recent content by Elroysangi

  1. E

    Msaada interview za TRC

    Ni project na mtu so ikianza nikaridhia i cant bail out. Mbona unasema utumishi mambo ni magumu??
  2. E

    Msaada interview za TRC

    System developer naona sielewi kuna offer nimepata mahali sema nikienda kama huku utumishi nimepata ndo imekula kwangu niko dilema
  3. E

    Nimeitwa usahili Utumishi kada ya ICT Officer, naomba hints nikazie wapi

    Nlifanikiwa kufika oral ndo nasubiri majibu walisema 2 weeks naona tuko wiki ya 4 naona kimya
  4. E

    Msaada interview za TRC

    Wazee naombeni kuuliza majibu ya oral interview za itumishi yanatoka baada ya mda gani maana ni 25days now naona kimya
  5. E

    Nimeitwa usahili Utumishi kada ya ICT Officer, naomba hints nikazie wapi

    Nlipitia jukwaa hili hili la ajira na nikapata mwanga mzuri tuu. Asante kwa hongera
  6. E

    Nimeitwa usahili Utumishi kada ya ICT Officer, naomba hints nikazie wapi

    Nlikua naswali majibu ya oral huwa yanatoka after how long naona ni kama 24 days wapo kimya
  7. E

    Nimeitwa usahili Utumishi kada ya ICT Officer, naomba hints nikazie wapi

    Kwanini mzee kwamba sijui kitu naenda fanya
  8. E

    Nimeitwa usahili Utumishi kada ya ICT Officer, naomba hints nikazie wapi

    salam kwenu wana jukwaa. Nimeitwa usaili utumishi next week kada ya ICTO II post ya software developer HESLB. Hii ndo interview yangu yakwanza utumishi nlikua naomba nimepewe hints wapi pakukazia maana naona kama napapasa gizani. Asante
  9. E

    Msaada wa ushauri kuhusu jeshi

    Wakuu, Ninaomba ushauri kidogo. Nimemaliza chuo ka degree cha computer science nimekaa kitaa kidogo kwenye kuhangaika na mishe mzee mmoja wa family ana title heavy huko TPDF kisa nna age ndogo 22 na hio degree amesuka mambo niende JKT then afanye connection niingie TPDF. Family iko kooni...
Back
Top Bottom