Recent content by elphenomena

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kutoka uwanja wa Shule ya Jangwani - Ifakara: Mkutano wa Kampeni wa CHADEMA

    CCM ikishatoka madarakani ndipo wananchi watapata fursa ya kunufaika kupitia rasilimali za nchi yao.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri mkutano wa Magufuli; Kibamba, Kibaha Vijijini, Chalinze, Kibaha Mjini na Kawe- 22/10/2015

    Kwa hiyo huyo Waziri wa maji na rais wake ni wa serikali ya chama kipi? Hovyoo
  3. E

    JamiiForums Tanzania Jamani tuwe serious na nchi hii.

    Wajinga ndio waliwao, wachagueni tena mzikwe hai, manake mna kiburi sana.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kupandisha madaraja kwa watumishi wa umma

    Subiri watakujibu wanaojua mfumo wa chama cha majambazi.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ukitaka ukweli basi yakupasa kujua idadi ya wapiga kura Jimbo la Arusha mjini

    Sisi ndo A towners bro. Tutapiga kura na kuzilinda kura. Hatuna mazoea na ccm, wapite hivi
  6. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Sawa tusubiri basi tarehe 25 October mtajua kuwa mlitoa pesa halali mkapewa cheni bandia. A town tunaijua sisi.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Lowassa Anataka Urais Kwa Nguvu, Gharama Yoyote?

    Hao makachero uchwara kweli. Toka 2010 mpaka leo wameshindwa kujua ukweli. Tunataka mabadiliko.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ayaaaa, Dar UMEME wamekata tena, na tena, si mzime kabisa, jamani, CCM out..!!

    Safi. Kama mgao haujawatosha basi mwaka huu muichague tena ccm. Hapa kazi tu. CCM ni ile ile, uliipenda mwenyewe. Utajuta.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema anachanganyikiwa Arusha! Amekata tamaa anatukana hadi kina mama!

    Arusha tunaijua sisi. Huku kiongozi wa CCM ni marufuku. Hata angegombea Nyerere kwa kupitia ccm angekosa.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Tanesco na serikali mtuonee huruma wananchi wenu

    Ndo vizuri wakikata ili mjue ccm ni ile ile na usipokoma nenda tena kawape kura yako hiyo tarehe 25 October ili wakumalizie kabisa.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM wanashindwa kuwalipa Walimu lakini wanaweza kutumia fedha nyingi kuwalipa Wasanii?

    Unatia kinyaa. Kakojoe ukalale, wamelipwa na baba yako?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri ujio wa Edward Lowassa jimbo la Bukoba Mjini viwanja vya Gymkhana

    Chama cha kijani tulizeni mshono. Bado siku 35 tuwaruhusu mlale mturuhusu tusimame. Olelee.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Kutoka viwanja vya Barafu Dodoma kampeni za Urais kupitia UKAWA

    Ujinga mtupu. Andika kiswahili tu. Kiingereza chenyewe hovyo.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Mtu Jeuri na Fedhuli akikuuliza Tanzania mna nini, Mjibu tuna Amani

    Tarehe 25 October tutapata majibu. Adhabu iko pale pale.
  15. E

    JamiiForums Tanzania Warioba: Apinga kauli zinazotolewa na Lowassa pamoja na Sumaye kwenye mikutano yao ya kampeni

    Kumbe hao wezi na mafisadi walio ndani ya CCM ndo wanahaki ya kuingia ikulu!!! Kweli nyani haoni kundule.
Back
Top Bottom