Recent content by ellyson41

  1. E

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Nampa hongera sana kamanda Lema na Chadema kwa ujumla kwa matokeo haya. kimsingi, mahakama ya rufaa imejielekeza vizuri, hukumu hii imeendelea kuipa heshima kubwa mahakama ya rufaa ya Tanzania. Hongereni sana majaji kwa hukumu hii, mmetumia taluma zenu kuzuia upotoshaji uliofanywa na mahakama...
Back
Top Bottom