Recent content by ellyness

  1. ellyness

    JamiiForums Tanzania Nini kimemsibu Rais Jakaya Kikwete? Mbona hekaheka

    usiseme ccm haipendwi sema wew hauipendi mbna mm naipenda alaf unasema hapendwi acha porojo ndugu... na usiusemee mioyo ya watu wengne..
  2. ellyness

    JamiiForums Tanzania Nini kimemsibu Rais Jakaya Kikwete? Mbona hekaheka

    naona uwelewa wako ni mdogo ndugu maana ungeelewa nilichoongea ungenijibu kama muelewa.... ila hongera kwa kulipwa na magufuli pia usisahau kumpa kura ya ndio tarehe 25/10/2015
  3. ellyness

    JamiiForums Tanzania Nini kimemsibu Rais Jakaya Kikwete? Mbona hekaheka

    nakushangaa sana unavyosema hayo na kushabikia mambo as if unalipwa..... kwan lowasa ametoka wapi kama co ccm unafkir yy co mwiz....? niseme kuwa huu ndio wakat tuliokua tuusubr wanamapinduz mafuta kujitenga na maji.... najivunia rais kikwete najivunia rais mtarajiwa Dr. jp Magufuli najivunia...
  4. ellyness

    JamiiForums Tanzania Ukivaa jezi za CCM huna amani mtaani lakini Lowassa au za CHADEMA/CUF you feel proud, why?

    siasa co mapambano siasa ni sayans ya kichwa na uwezo wa kuchambua vtu.. hao wanaozomea hawaelewi ktu... maana kila mmoja anauhuru kuchagua na kupenda kile anachona bora kwake.. mapenz ya yule co ya walee....
  5. ellyness

    JamiiForums Tanzania Mnyika amtetea vikali Dr.Slaa

    jaman Dr. slaa ni mzalendo na nchi yake.. na chama pia hakutaka kuwa mnafki mm nmpongeze kwa hilo
  6. ellyness

    JamiiForums Tanzania Hi ikoje wadau? Nikifanya mapenzi kiuno kinauma

    mm nahc ni ME huyo
Back
Top Bottom