Mimi ni mwajiriwa katika kampuni moja hapa nchini umri wangu ni miaka 28.Natafuta mchumba wa kuoa umri kuanzia 23-28,ambaye tutafahamiana na baadaye kuishi pamoja.Asiwe na mtoto,awe hajawahi kuolewa,awe mkristo,umbo la kawaida,rangi yoyote,mrefu wastani,sitaki mlevi wala muongo kwani wasanii...