Recent content by Elly Merdy

  1. E

    JamiiForums Tanzania Talent-Vipaji

    Ni ushauri, lakn kama tunahitaj maendeleo, ni vzr tukafanya hivyo
  2. E

    JamiiForums Tanzania Talent-Vipaji

    Mimi nahis, tukitaka maendeleo ya nchi kutoka nchin mwetu bila kutegemea misaada ya nje, inatubidi tupange mikakati iliyo bora, watoto wadogo huwa na vipaji vikubwa lakin mfumo wa elimu uliopo, unasababisha vipaji hivyo kudunishwa,. Watoto inabidi wapewe elimu kulingana na vipaji vyao, inabidi...
Back
Top Bottom