Nimepitia hizi hoja na nimefurahi sana. Naona ziliandikwa mwaka ambao nilikuwa kwenye box ya uumini wa kiislamu. Sasa na mimi najiuliza mipesa inayotolewa na waislamu kwa anili ya kuhiji hua inaenda wapi? Kwa kutoka kwenye dini nimefahamu bila shaka kwamba sijui wala sikuwahi kujua lolote...
Hujambo mkuu, leo hii nimefurahi saana kwa sababu ya hii thread ambayo imenitia haamu sana ya kujua mambo haya kwa kina. sasa naomba km itawezekana, unajua waafrika wengu haswa waliozaliwa na wazazi wasio wasomi hatujui birthdays zetu za kweli sasa unaweza ukatusaidia aje sisi ili tuweze kujua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.