Ushindani yaani ni wanafunzi wengi wanahitaji kujiunga pale? Na kama ni hivo samahani mkuu unaweza ukanisaidia shule yenye sayansi ambayo haina uhaba wa walimu wa sayansi na ambayo ushindani wake wa kujiunga ni mchache
Sasa Mkuu kwa alivo pata DCC kwenye combination ya PCB atachaguliwa kweli akiwa na F ya Math ? Na ameniomba aanze tution ya PCB nikampeleka Je akijaza CBG kubadili combination ni simple au kasheshe anatarajia kujiunga lyamungo High school
Mkuu samahani je akijaza CBG kwenye mfumo wa selform.tamisemi.go.tz alafu akapangwa huko lyamungo High school CBG atakuwa na uwezekano wa kubadili combination kwenda PCB? maana amenilazimisha nimpeleke tuition ya PCB hadi nimempeleka
Wakuu samahani kuna mtoto wangu amepata Division 3 ya 22 mwaka wa 2022 na ufaulu wake ulikuwa hivi History "C" Civics "C" Geography "C" Kiswahili "C" Biology "C" Chemistry "C" Physics "D" English "D" and math "F" Na anataka kwenda combination ya PCB. Lyamungo High school Je kwa selection zijazo...
Wakuu mtoto wangu amepata Division 3 ya 22 mwaka 2022 ufaulu wake katika masomo yake ulikuwa hivi History "C" Civics "C" Geography " C" Kiswahili "C" Biology "C" Chemistry "C" Physics "D" English "D" na math "F" anataka kwenda PCB lyamungo anaweza kukubaliwa kwenye selection zijazo natanguliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.