Recent content by Eliyona

  1. E

    GE2010 Tanzania Bila Makamu wa Rais!

    Pointi 3 zako mzee. umenena hapo.
  2. E

    GE2010 Matokeo rasmi ubungo

    One down,(ubungo) two more to follow (Segerea na Kawe) Mungu akiwa upande wetu, nanai atatupinga?
  3. E

    GE2010 Matokeo rasmi ubungo

    Mnyika oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee katangazwa rasmi
  4. E

    GE2010 Matokeo rasmi ubungo

    Mpaka sasa anaongoza. Hakuna mpinzani.
  5. E

    GE2010 Matokeo rasmi ubungo

    ngoja ngoja. jamaa anaongea kwa pozi kweli kweli.lakini ushindi utakuwa wetu tu
  6. E

    GE2010 Matokeo rasmi ubungo

    Yanatangazwa live kupitia 98.0 wapo radio fm.
  7. E

    GE2010 Updates kutoka Royola every 10 minutes

    KIRAVU: "Tatizo kubwa ni mfumo wa kuweka zile taarifa kwenye kompyuta na kutuma makao makuu." Anaongea akiwa na uchovu wa safari ndefu alikotoka pamoja kugubikwa na usingizi. Sasa wanatumia vinakilishi vyao kuingiza taarifa zote kwenye server yao. Wananchi wapo hapo kwa zaidi ya saa 18...
  8. E

    GE2010 sheikh yahaya na shibuda

    hahaha. atakufa yeye, subirini mtaona. kazi yake kubwabwaja tu, shwain.
  9. E

    GE2010 Tumelinda na hawajachakachua

    Sasa tunaweza kuringa...
  10. E

    GE2010 Updates kutoka Royola every 10 minutes

    Taarifa toka kwa insider, zinripoti kuwa mkurugenzi Kiravu atakuwa hapo punde kuingilia kati na kuweka sawa hali tete hapo Loyola jimbo la ubungo. Kwa namna moja au nyingine, naamini hii italeta faraja kwa wanachi kwa kuwa in black and white they have to surrender kwa nguvu ya umma, na at last...
  11. E

    GE2010 Updates kutoka Royola every 10 minutes

    Thnx nimekusoma, kumbe ni haka kababu...
  12. E

    GE2010 Updates kutoka Royola every 10 minutes

    Hali ya watu ikoje? Still bado wapo wengi? Na Mheshimiwa wetu alikesha jana, hali yake ikoje sasa?
  13. E

    GE2010 Updates kutoka Royola every 10 minutes

    Ni Mrema yupi huyo, kijana wetu wa CHADEMA au ni huyu huyu kibaraka wa chama cha majambazi?
  14. E

    GE2010 OFFICIAL: Dr. Shein, Rais mpya wa Zanzibar 2010-2015

    Huko znz kimeeleweka tayari, Shein kapata 50.1% Maalim Seif 49.1% Mskie m/kiti asemavyo.
  15. E

    GE2010 Hai balaa

    mambo yakoje huko, mchana nilisikia tetesi kwamba Mbowe yuko nyuma kwa kura. Ni kweli, hebu niambieni wadau, Mjengo wa kwetu tu wazee.
Back
Top Bottom