Hai balaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hai balaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Isaac, Nov 1, 2010.

 1. Isaac

  Isaac JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 627
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Kwa hasira ya sintofahamu inayoendelea,wananchi wameamua kufunga barabara ya Moshi Arusha. Hakuna kwenda wala kutoka Moshi. Pikipiki zimelazwa barabarani. Na wabaki na matokeo yao.
   
 2. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  tujuze zaidi kaka... nini cha mno huko?
   
 3. k

  king ndeshi Senior Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sio kama nauburi udini no.! ila sehemu nyingi alizo kimbiza jk zina idadi kubwa ya vibarakashee na madira,na ndo maana ukicheki utakuta wana gawana vibarakashee na CUF,next TIME siangalii sera ni IMANI MKAZI. FAAAKI PISI
   
 4. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  tupe tupe kaka
   
 5. LD

  LD JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kuna nini rafiki?
   
 6. nzitunga

  nzitunga Senior Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  JK anazidi kuharibu nchi. Tokea uhuru haijawahi kutokea namna hii. Kila kona watu wanalalama! Kama utakiwi Ikulu na wenye Ikulu si utoke tu??? Mbona utabaki na heshima ya rais mstaafu??
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mbona balaa hivi.....nini lakini CCM....wanaogopa vijana bungeni...wanataka wazee wanaoenda kusinzia ili bora liende....mwaka huu imekula kwao...hasinzii mtu...vijana wadogo damu changa...
   
 8. kauzu

  kauzu Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wamezidi uwizi:A S angry:
   
 9. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Duh kweli tumechoka.
  Lete habari kaka.
  Mchana kuna dada alikuwa anakuja arusha alitumia masaa mawili toka Hai hadi arusha badala ya nusu saa
   
 10. E

  Eliyona Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mambo yakoje huko, mchana nilisikia tetesi kwamba Mbowe yuko nyuma kwa kura.
  Ni kweli, hebu niambieni wadau, Mjengo wa kwetu tu wazee.
   
 11. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Vp aliposhinda Slaa kuna nini nyingi? Misalaba
   
 12. k

  king ndeshi Senior Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kuna mwenzi na nyota na sera
  k
   
 13. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  sio misalaba. ukiangalia sehemu dr ameshinda kuna 40% zile kofia na 40% hiyo misalaba. lakini aliposhinda dacta utakuta kofia ni 70% na hiyo misalaba ni 10%. fanya uchunguzi zaidi
   
 14. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  DU......
   
 15. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Jamani mnaona tulipofikishana huku??? Waliosema kuwa UDINI na UKABILA ni kama nyama ya mtu kamwe mtu asijaribu kuitamani hawakuwa wajinga.....Sasa sijui na waislamu nao wanaobserve vipi na watareact namna gani.......

  Political opportunism imelimaliza taifa letu......
   
 16. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280

  hoja kama hizi lazima zikutoe pangoni,
   
Loading...