Recent content by Eliya vicdaniely

  1. Eliya vicdaniely

    JamiiForums Mtaalamu wa elimu ya awali na watoto wadogo

    Oooooh! Sawasawa muheshimiwa
  2. Eliya vicdaniely

    JamiiForums Mtaalamu wa elimu ya awali na watoto wadogo

    Asante Kaka kwaushauri
  3. Eliya vicdaniely

    JamiiForums Bachelor of education in early childhood na diploma C.O ipi bora

    Salamu kwa kwatu wa fj samahanini Nimemaliza kidato cha nne mwaka 2019 lakini post zimetoka nimejikuta nimepangiwa chuo cha uwalimu elimu ya awali diploma myaka mitatu Hivi ajira huwa zinatolewa kaka na dada zangu
  4. Eliya vicdaniely

    JamiiForums Mtaalamu wa elimu ya awali na watoto wadogo

    Matokeo yangu hayahapa Biology . C History .C Civics.C Literature.C Kiswahili .C English .C Geography .C Mathe .C Division 2 point 21 Nimechaguliwa chuo cha uwalimu elimu ya awali diploma Hivi ni sahihi muheshimiwa je? Ajira inatoa serikali au
  5. Eliya vicdaniely

    JamiiForums Mtaalamu wa elimu ya awali na watoto wadogo

    Samahani Nimemaliza 2019 nimepata division 2 ya point 21 na makombi yame balance lakini nimepelekwa (post) chuo cha uwalimu elimu ya awali diploma ,,, samahani hivi ajira inatoa serikali au tunajiajili [emoji120] samahani naomba msahada
  6. Eliya vicdaniely

    JamiiForums Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

    Samahanini Mimi nimemaliza kitato cha nne mwaka 2019 na nimepata division 2 ya point 21 matokeo yangu hayahapa Biology. C History. C Kiswahili.C Literature . C Civics . C Geography. C English. C Math. F Ila post zilivyo toka nimechaguliwa chuo cha uwalimu elimu ya awali diploma myaka 3 ...
  7. Eliya vicdaniely

    JamiiForums Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Daaaaaah! Wazazi uwezo hawana ila wengine wameshauli niende hukohuko
  8. Eliya vicdaniely

    JamiiForums Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Jamani naitaji msahada nimepata division 2 matokeo yangu Kiswahili. c Gograph. C English . C Biology . C History . C Literature . C Civics. C Math . F Na division 2 point 21 ,, mwaka nilio maliza 2019 lakini post zimetoka nimechaguliwa chuo cha UWALIU ELIMU YA AWALI DIPLOMA Naomba...
  9. Eliya vicdaniely

    JamiiForums Naombeni Ushauri

    Samahani kaka hivi mtu ukipata division 2 nanimebalance comb zote nimepelekwa chuo uwalim elimu ya awali diploma hivi ajira zipo kwa kozi hii alafu je inalipa au nibaki mtaani tu
Back
Top Bottom