Recent content by eliuze

  1. E

    JamiiForums Tanzania Waombaji ajira za Ualimu waitwa Usaili

    Kaka rushwa nayo inategemea umempa Nani aisee chunga sana unaeza pigwa hela alafu ukakosa ajira. Habari ya rushwa usiiamini sana ndugu. Kuna Hawa jamaa wanasema leta laki 5 upate ajira kua makini. Habari ni interview kaka faulu upate
  2. E

    JamiiForums Tanzania Walimu waripoti makazini kimya kimya

    Chemistry na bios
  3. E

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali kwa kusitisha usaili wa Walimu: Tunashauri utaratibu wa zamani utumike kwa kupangwa vituo na TAMISEMI

    Yani usaili upo wakuu maana hamna tangazo la kusema tutachagua juu kwa juu watu waoga ndio wameleta sera hizo. Hapa inaonekana walim wataingia usaili na Hawa waalimu wa businesses walioanza kuaply hivi karibuni
  4. E

    JamiiForums Tanzania Walimu waripoti makazini kimya kimya

    Asaiv watu wamekua matapeli unakula hela na kazi hupati. Wameona watu wako na shida ya kazi basiii wanapata ulaji wengi wanasema nipe laki tano
  5. E

    JamiiForums Tanzania Walimu waripoti makazini kimya kimya

    Eti kunajamaa humu forum anasema ako na connection lakini hiyo connection inamuambia afaulu mtihani.sasa connection na kufaulu wapi na wapi ukiwa na connection inabidi hata kama umefeli upite
  6. E

    JamiiForums Tanzania Walimu muda wowete kuitwa kazi

    Interview zinakuja japokua ni ukweli mchungu ila wadau wa elimu mkubaliane nao haliwezekani watu wa afya wapige interview alaf mwalimu uajiriwe free noooo
  7. E

    JamiiForums Tanzania Walimu muda wowete kuitwa kazi

    Wale wazee wakufua mabegi December inayoyoma hii hakuna pdf wala nn. Yani ngoma ni March au April,kama umefua begi lichafue tuu maana gia ngumu inakuja
  8. E

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali kwa kusitisha usaili wa Walimu: Tunashauri utaratibu wa zamani utumike kwa kupangwa vituo na TAMISEMI

    kama ni wewe ndugu umeambiwa upite written basi huna connection hapo una beti kama wengine maana ya connection ni kwamba hata ufeli written wewe ni uhakika hata upate 0 kama una connection unapita sasa unakua na connection inakuambia ufaulu written hiyo sio connection ndugu umetapeliwa. Ogopa sana
  9. E

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali kwa kusitisha usaili wa Walimu: Tunashauri utaratibu wa zamani utumike kwa kupangwa vituo na TAMISEMI

    Mi nnachokijua ukiwa na connection inabidi hata kama umefeli written(interview) inakubidi upite si una connection bhana.kama hiyo connection haiwezi kukupitisha ukiwa umefeli basi hamna connection apo. Maana watu wanatafuta connection ili wapite by any means
  10. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu zimepotelea wapi?

    Hizi habari za gpa ni kudanganyana coz hakuna tangazo lolote serikali imelitoa kuonyesha namna hiyo. Hivyo basi watu msiache kujiandaa na interview maana January ndio watatangaza interview ili walimu wakaripoti March. Maana mwaka ujao serikali haitoajiri Tena waalimu inataka hizi nafasi za mwaka...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu zimepotelea wapi?

    Jamani hakuna pdf itatoka bila interview utumishi kwaiyo huu mwezi msisubirie pdf kwamba itatoka ni mpaka interview zianze January 17
  12. E

    JamiiForums Tanzania Nasikia kama huna GPA ya 3 sahau kuwa Mwalimu wa sekondari

    Maana watu wanasema oooh wamechagua kulingana na gpa uliambiwa na Nani, utumishi hawaajiri bila interview. Leo tarehe 10 pdf bado mnaojidanganya kua mwezi huu wataachia mkeka amkeni usingizini
  13. E

    JamiiForums Tanzania Nasikia kama huna GPA ya 3 sahau kuwa Mwalimu wa sekondari

    Naona walimu mmesahau kabisa suala la interview siku zinazidi kwenda wale wanaojifariji kwamba pdf itatoka mwezi huu keep in mind, wake up January 15 interview zitaanza
  14. E

    JamiiForums Tanzania Nasikia kama huna GPA ya 3 sahau kuwa Mwalimu wa sekondari

    Naona watu wamerelax bila kujua interview inakuja January
  15. E

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa uhamisho wa watumishi unatoka lini?

    Habari ya uhamisho jamani mm nimehangaika mpaka sasa hivi nn kinawndelea jamani
Back
Top Bottom