Je nikwanini wafanya biashara hawapendi kulipa kodi kwa shuruti?...Kama kwenye harusi au harammbee?
1-Ni kwasababu hajui inatumikaje, au haoni faida yake ya Moja kwa Moja, au ufisadi unaosikika na si katika hiyo kodi anyolipa? Au elimu haijawekezwa kwa nguvu Kama kwenye HIV?
Tukiwa tunaona na kuipitisha ambapo fika imeivunja iliyokuwa katiba baba yetu sote na kutuachi ikawa ya huku bara tu na walio apa kuilinda wakitenda hayo na wanasheria wetu. Kama tunaubavu tuwaombe wenzetu wa Zanzibar waifute katiba Yao,nje ya hapo ni mpaka utokee MIRACLE .ya Muumba wetu.
Dawa ni serialized 3 hakuna jipya watakaloliweza kuondoa kero za muungano ndani ilipokua serikakali 1 ikaja zikawa 2 na watu ni walewale na mifumo ni ileile iliyowashinda ndani ya serikali 1hadi ya 2 iiyopelekea mpaka Zanzibar ikaandaa katibayao .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.