Msaada:Napataje dawa kuotesha ndevu kwa sasa nina umri wa miaka 30 lakini sina ndevu hata kidogo
Wakati wadogo zangu wamejaa ndevu balaaa
Kuna mtu yeyote anaye juwa hii?
Rafiki yako alijaribu na alifanikiwa maana natafuta dawa ya kuotesha ndevu nina miaka 30 mpaka sasa sina hata kidogo wakati wadogo zangu wamejaa ndevu hatari nitumie dawa gani jamani? Kwa anaye uhakika wa dawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.