TANESCO MBAGALA; wakazi wa mbagala tunapata shida sana kwa huduma ya UMEME kuanzia charambe kuelekea chamazi. Huwa unakatika katika na bila taarifa ya makato hayo ya umeme kutoka kwenu na ukirudi huwa unakuwa hauna nguvu mara unaongezeka nguvu na mwishowe unakatika teena. Tujulisheni nini tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.