Recent content by Elisha Jilala

  1. E

    SoC02 Usiyoyajua: Mazingira saba (7) hatarishi kwa mwanachuo

    Utangulizi Ni ukweli kwamba wanafunzi wengi wanaomaliza kidato cha sita na wale wanaosomea fani vyuo vya kati na vyuo vya ufundi wamekuwa na ndoto kubwa za kufika elimu ya juu yaani chuo kikuu. Ndoto zao hukubwa na misukosuko huku wengine wakikatiza masomo yao pale changamoto zinapozidi uwezo...
  2. E

    SoC02 Jinamizi: Rushwa ya ngono vyuoni

    Swala la rushwa ya ngono vyuo vikuu na vyuo vya kati ni jinamizi linalozidi kuitafuna jamii yetu kila uchwao. Rushwa ya ngono si neno geni wala habari mpya kwa wafuatiliaji wengi wa mitandao ya kijamii. Takwimu zinaonesha takribani wahadhiri zaidi ya ishirini (20) wa vyuo vikuu Tanzania kwa...
Back
Top Bottom