Njia Zipo nyingi ila mojawapo ni kuchukua maaamuzi magumu.Si lazima ashirikiane sana na wacheza kamali wenzake lakini ajaribu kushirikiana zaidi na watu wasiopenda kamali. Hii hitachochea kubadirisha fikira zake ndani ya muda mfupi na baadae atajikuta anachukia kucheza kamali.Ingawa sio rahisi...
Hii ni sekta ya muhimu katika uchumi wetu. Ikiwa usimamizi wa sekta hii utaendelea kusimamiwa vizuri uchumi wetu utapanda kwa miaka mitano (5),kumi (10) na kuendelea.katika sekta hii tunapata malighafi mbalimbali kwa ajili ya viwanda mbalimbali mfano, alizeti kwa ajili ya kutengeneza mafuta...
Ajali ni tukio la dharura linayotokea au kupata mtu bila kutalajia na ambalo linaweza kusababisha majeruhi na wakati mwingine watu kupoteza maisha(vifo).Ajali ya barabarani ni tukio la dharura ambalo linampata mtu bila yeye mwenyewe kutalajia barabarani na wakati mwingine kusababisha majeruhi...
Moja,anatakiwa kujua kusoma na kuandika;Kuna viongozi ambao wakiletewa mikataba wanashindwa kusoma sababu hawajui kusoma na kuandika.Kiongozi anayejua kusoma na kuandika itamsaidia wakati wa kusaini mikataba mbalimbali ambayo inahitaji kusoma na kuandika kwa manufaa ya pamoja ya wananchi...
Moja,bodi ya ligi ya mpira wa miguu nchini (TFF )ihakikishe; Kila shabikin anaipa kipaumbere timu ya mkoa anapoishi. Zaidi ya Simba na yanga mfano, kilichosababisha mpaka ligi ya uingereza kukua ni shabiki kushabikia timu ya eneo anapoishi.mfano, mashabiki wa kutoka jiji la Machester...
Moja - Itengwe bajeti ya kutosha katika sekta hii; zitolewe fedha ambazo zitakidhi mahitaji ya sekta ya (UCHUKUZI), hata kama sio kwa asiilimia mia moja. Hii itasaidia miradi mfano reli,barabara,maji n.k kukamilika tena kwa wakati na uchumi wa watu na taifa utakuwa.
Mbili - Kuwapa kazi ya...
Mnamo tarehe 9 Desemba 1961, Tanganyika ilijipatia uhuru wake kutoka kwa koloni la Kiingereza. Wakati huo, alikuwepo gavana aitwaye Sir Richard Turnbull. Gavana wa kikoloni huku Tanganyika alikuwa ni Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ambaye pia anajulikana kama baba wa taifa. Tanganyika ilikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.