Recent content by eliazari

  1. eliazari

    JamiiForums Tanzania Barua ya kuachishwa kazi imeniharibia siku kabisa leo

    ok sawa mkuu
  2. eliazari

    JamiiForums Tanzania Barua ya kuachishwa kazi imeniharibia siku kabisa leo

    s sio biashara kichaa iyo mkuu ushawah kujaribu??
  3. eliazari

    JamiiForums Tanzania Barua ya kuachishwa kazi imeniharibia siku kabisa leo

    bajaj mpya ni kama m7 na laki 2 but hata kwa iyo hela unaweza ukapata used na ikakutoa maana matengenezo ya bajaj sio makubwa sana pia ukimpata na dereva mzur unatoka... mm kuna jamaa angu mmoja alianza na bajaj moja saiv ana bajaj 9 na zote zinaleta elf 20 kila siku, kama upo tayar tunaweza...
  4. eliazari

    JamiiForums Tanzania Barua ya kuachishwa kazi imeniharibia siku kabisa leo

    n nipo Singida mkuu
  5. eliazari

    JamiiForums Tanzania Barua ya kuachishwa kazi imeniharibia siku kabisa leo

    n nipo Singida mkuu
  6. eliazari

    JamiiForums Tanzania Barua ya kuachishwa kazi imeniharibia siku kabisa leo

    una mtaji kiasi gan nikupe iadea?
  7. eliazari

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUFANYA MANUNUZ MTANDAON NA MASTERCARD

    m maana nataka nipromote page facebook
  8. eliazari

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUFANYA MANUNUZ MTANDAON NA MASTERCARD

    jaman naomba kujuzwa jinsi kulipia online ukiwa na mastercard je zile namba tatu ndo password au,, na je izo namba tatu ni laxima uzijaze?? na kuhusu sehemu ya tar na mwez najaza nn??? nijuzeni
  9. eliazari

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kumwamini ndugu au rafiki wa karibu na akakutapeli mkwanja mrefu?

    Mimi kuna jamaa ndugu yangu nilimpa hela laki 4 anichongee kitanda kizur cha mninga maana nilikuwa nataka kufunga harus kwanza jamaa kaniambia nisimharakishe ana kaz nyingi atakuwa anatengeneza pole pole nikasema poa maana hata harus ilikuwa bado so nikamuacha kama mwez baadae akaniita...
  10. eliazari

    JamiiForums Tanzania Camera ya cannon type ipi iko vizuri kwa picha?

    nipo singida
  11. eliazari

    JamiiForums Tanzania Camera ya cannon type ipi iko vizuri kwa picha?

    mkuu vip umeshapataga mtu? mm nilikuwa na aidea nzuri tu jinsi ya kutengeneza pesa na camera
  12. eliazari

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mchawi aliyekoswa na kitanzi mara 3

    duh
  13. eliazari

    JamiiForums Tanzania Je, wachina wameiba wazo la Masoud Kipanya

    hizo ni made in india sio china mzee
Back
Top Bottom