Tatizo hata akitoka akawaambia hajafoji na vyeti anavyotumia ni vyake bado hamtakubaliana nae, so long as mmeaminishwa kuwa sio vya kwake. Na pia naamini mamlaka husika zimeshajiridhisha kuwa hakuna tatizo llt kuhusiana na vyeti vyake!
Nawaza tu jamani, hivi vyeti anatakiwa awasilishe kwenye social media au wapi? Na pia wakati wa zoezi la kuhakiki vyeti vya kwake wahisika hawakuviona?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.